JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wakili wa kimataifa Amstedam aingilia kati sakata la Lissu

Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kidiplomasia na kisheria, wakili maarufu wa kimataifa, Robert Amsterdam, ametangaza kuingilia kati na kutetea haki za Tundu Lissu, mwanasiasa mashuhuri na mpambanaji wa demokrasia nchini Tanzania. Hii inafuatia kukamatwa kwa Lissu na viongozi…

RC Sendiga : Nahitaji orodha ya wawekezaji wote na shughuli zao Simanjiro

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga amemtaka Mkuu wa Wilaya hiyo Fakii Raphael Lulandala kuhakikisha anampatia orodha ya wawekezaji wote waliowekeza katika vijiji ndani ya wilaya hiyo ikiwa ni pamoja na kufamu kazi…

Dk Kellen-Rose Rwakatare achangia milioni 2.2 ujenzi wa madrasa Taqwa na choo cha msikiti Mlimba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ifakara MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (UWT), Dk. Kellen-Rose Rwakatare ametoa shilingi milioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa madirisha na milango kwenye Madrasat Taqwa iliyopo msikiti wa Igima uliopo kata ya Mbingu…

Mkurugenzi wa TANESCO Gissima Nyamo-Hanga afariki dunia kwa ajali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (TANESCO) Gissima Nyamo-Hanga amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13,2025 kwa ajali iliyotokea Wilayani Bunda Mkoani Mara Mkuu wa Mkoa wa Mara Evansi Mtambi amethibitisha kutokea…

Mkuu Kamandi ya Jeshi la Wanamaji apokea meli vita ya Jesi la India

Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Rear Admiral Ameir Ramadhan Hassan amefanya mapokezi ya Meli Vita aina ya INS SAGAR OPV ya Jeshi la India leo tarehe 12 Aprili 2025 katika Bandari ya Dar es Salaam. Mapokezi ya Meli…