JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi

▪️Asisitiza Serikali itaendelea kuwawezesha wawekezaji wazawa* *▪️Aeleza mpango wa Serikali wa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria nchini* Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Brabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakilishe inatoa kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara kwa…

TMA : Kuna ongezeko la joto kwa baadhi ya maeneo nchini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kumekuwepo na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan yapatayo misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwa miezi ya hivi karibuni. Hali hii imesababishwa na kusogea kwa jua la utosi…

Serikali yaombwa kuwapeleka wataalam UDOM kupata mafunzo ya ubobezi ya TEHAMA

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Serikali imeombwa kuwapeleka wataalamu katika chuo kikuu cha Dodoma ili waweze kupata mafunzo ya ubobezi katika fani ya TEHAMA ili kuweza kuboresha utendaji kazi wao na kuleta tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Hayo…

Waliosababisha ajali iliyopelekea kifo cha mwanamke mmoja mbaroni

Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni John Peter (45) dereva na mkazi wa Manyire Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na Jafari Shirima (62) dereva na Mkazi wa Singida…

Chalamila akagua miradi ya maendeleo Temeke

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Temeke kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi. Ziara hii imelenga kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi…

Serikali yachukua hatua kuongeza upatikanaji wa dhahabu ghafi kwa Geita Gold Refinery (GGR) – Waziri Mavunde

Asema Serikali inajivunia uwepo wa viwanda vya kuongeza thamani madini nchini 📍 Dodoma, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa, Serikali ya Tanzania inatambua kuwa ili kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kifanye kazi…