JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wizara ya Viwanda na biashara yapania kuanzisha kongani

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imepanga kuanzisha kongani za biashara katika kila wilaya nchini kuwasadia Wakulima,Wafanyabiashara na Vijana kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Urithi wa Ukombozi jijini Dar es…

Msigwa :Waandishi Vita ya Dunia imehamia kwenye taarifa za mtandaoni kuweni makini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Greyson Msigwa, amewataka waandishi wazalishaji habari mtandaoni kutambua kuwa dunia ya vita yake haitumii silaha…

CRDB yashirikiana na Kids’ Holiday Festival kukuza elimu ya fedha kwa watoto

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kids’ Holiday Festival kwa lengo la kuandaa matamasha ya watoto yatakayolenga kuwawezesha kukuza maarifa katika masuala ya fedha, uwekezaji na akiba, hatua inayolenga kujenga msingi…

Bandari Dar yavunja rekodi, yapokea meli ya makasha yenye urefu wa meta 304

Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyotekelezwa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia Mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP) yanaendelea kuzaa matunda, baada ya bandari hiyo kupokea meli kubwa na ndefu zaidi ya makasha kuwahi kutia…

Rais Samia ateta na mzee Joseph Sinde Warioba Ikulu Magogoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.