JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yasisitiza uchaguzi wa viongozi bora

Na Daniel Limbe, JammhuriMedia, Chato SERIKALI imewataka wananchi kutumia demokrasia yao kuwachagua viongozi bora watakao kuwa tayari kutatua changamoto za jamii badala ya kuwaachia watu wengine kufanya maamuzi ambayo hayana tija kwa umma. Kauli hiyo imetolewa kwa nyakati tofauti na…

Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro

📌Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na…

Korea Kusini yaridhishwa na utendajikazi wa Jeshi la Polisi Zanzibar

Balozi Mteule wa Korea Kusini nchini Tanzania Eunju Ahn amekutana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar na kueleza kufurahishwa kwake juu ya utendaji wa Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa wageni…

Waziri Mkuu apongeza ukuaji sekta ya madini nchini

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini pamoja na Sekta ya madini nchini kwa juhudi mbalimbali zinazofanyika kuiimarisha. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri Mkuu, Novemba 19,…

Rais Samia apeleka bil.6/- kuboresha sekta ya elimu Kaliua

Na Allan Kitwe, Jamhuri, Media, Kaliua SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya sh bil 6 Wilayani Kaliua Mkoani Tabora ili kuboresha sekta ya elimu kupitia program za SEQUIP, EP4R na BOOST….

Gavu : CCM imejipanga kuwatumikia wananchi, chagueni wagombea wetu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Issa Gavu amesema Chama Cha Mapinduzi kimejipanga na kujidhatiti katika kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo. Gavu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na…