Category: MCHANGANYIKO
REA kushirikiana na Njombe kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 13,000
📌Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 📌Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo…
Kuanzia Januari 2025, vivuko vitakuwa vinasubiria abiria – Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la…
Majaliwa: Sekta ya Madini ni nguzo muhimu katika uchumi wa nchi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Sekta ya madini ni nguzo muhimu katika uchumi wa Nchi, hivyo serikali itaendelea kuifungamanisha na sekta nyingine ikiwemo sekta ya viwanda kwa kuwakaribisha wawekezaji kuwekeza katika viwanda na…
Polisi yawashikilia Diva, Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa waathirika wa Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jennifer Jovin (25) maarufu kama Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na jengo Kariakoo. Novemba 26, 2024…
Tanzania, Uturuki kushirikiana sekta ya Maliasili na Utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo ikiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchi hizo mbili. Hayo yamebainika leo Novemba 19,2024…
Mkutano wa COP29 waleta neema Tanzania
Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea manufaa Tanzania hususan katika hifadhi ya mazingira. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira…