JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Baba na watoto wake mbaroni kwa tuhuma za kuua

Jeshi la Polisi linawashikilia ndugu wa familia moja ambao ni Solomon Mwambyale (68) pamoja na watoto wake wawili, Stephano Mwaisango (32) na Emmanuel Mwaisango (36), wote wakazi wa Busoka Masebe, kwa tuhuma za kumuua Jenti Segelela (87) ambaye ni shemeji…

Wanne mbaroni kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa kilo 45 na gramu 785 katika nyakati tofauti. Watuhumiwa hao wametajwa kuwa ni Wilfred Komba (24), mwanafunzi wa…

Zanzibar kujenga Taasisi ya Saratani

Na Mwandishi Wetu ,Zanzibar KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepanga kuanza ujenzi wa Taasisi ya Saratani Zanzibar mwaka huu, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miaka…

Katibu Mkuu Dk Muyungi awakaribisha wadau usafiri wa kutumia umeme

Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi amesema kuwa Serikali inatambua jitihada za wabunifu wa nyenzo mbalimbali zinazosaidia kupunguza gesijoto inayotokana na matumizi ya mafuta kwenye vyombo vya moto. Alisema…