Mabiti azingatie onyo la wananchi wa Simiyu

Machi 28, mwaka huu wananchi wa Simiyu walimtahadharisha Mkuu wa Mkoa huo, Paschal Mabiti, dhidi ya genge la wafanyabiashara wakubwa wa pamba, vinginevyo “watamuweka mfukoni”. Mabiti aliyeteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo na kupangiwa kwenda huko, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Singida. Tahadhari hiyo kwake ilitolewa na baadhi ya wananchi wa mkoa huo mpya,…

Read More