Waislamu, Walokole pigeni moyo konde

Kwa karibu miaka miwili sasa nimejiepusha kuandika mada zinazohusiana na masuala ya dini, hasa Uislamu. Niliacha kuandika si kwa sababu nyingine bali kujipa muda niweze kupima upepo, kuangalia mustakabali wa taifa hili na hatimaye kuwa na mawazo muwali yatakayoniwezesha kutoa ushauri wa dhati kwa lengo la kulisaidia taifa letu. Napata shida kidogo kuandika makala hii,…

Read More

Balotelli aichanganya Italia

…Ageuka pia kuwa shujaa barani Afrika

Mapema mwaka huu, Mario Balotelli aliachwa katika timu ya taifa ya Italia (Azzurri) iliyocheza na Marekani Jumamosi, Februari 29, lakini Alhamisi iliyopita ghafla aliichanganya Italia alipoipeleka kucheza mechi ya fainali za Euro 2012 hapo juzi, Jumapili, dhidi ya Hispania mjini hapa.

Read More