JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Newta kuleta mageuzi sekta ya ujenzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni tanzu ya Huaxin Group, Maweni Limestone (MLL-Tanzania), imepiga hatua kubwa kibiashara kwa kuzindua bidhaa mpya ya saruji ijulikanayo kama ‘Newta’ inayotarajiwa kuboresha sekta ya ujenzi nchini.⁸ Haya yanajiri wakati miradi mingi ya…

Rais Samia afungua kiwanda cha kuchakata pamba Maswa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.

Umoja wa Afrika waridhishwa maandalizi uchaguzi Tanzania

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani. Misheni hiyo ya tathmini kabla ya uchaguzi (Pre-election…

Wizara ya Fedha yatoa elimu ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi kwa wahariri wa vyombo vya habari

Josephine Majura na Joseph Mahumi, WF, Morogoro Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imefanya mafunzo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma. Akizungumza wakati akifungua…