Category: MCHANGANYIKO
Wanafunzi 2,328 wafanyiwa uchunguzi magonjwa ya moyo Kibaha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Wanafunzi 2,328 kutoka Shule ya Msingi Mailimoja na Sekondari ya Bundikani zilizopo Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani wamefanyiwa uchunguzi wa awali wa magonjwa ya moyo. Upimaji huo umefanyika katika kambi maalumu ya siku mbili…
Majaji, mahakimu tuna wajibu wa kudumisha amani : Jaji Mkuu
Na Mary Gwera , Mahakama-Dodoma Mahakama ya Tanzania ina nafasi kubwa ya kuhakikisha kuwa, nchi inakuwa katika hali ya amani na utulivu kwa kusimamia ipasavyo jukumu la utoaji haki kwa kuzingatia Katiba na Sheria za nchi. Hayo yalielezwa jana tarehe…
Waajiriwa wapya NIRC wasema wana deni kwa Rais Samia, Tume yawataka kuchapa kazi
📍 NIRC – Dodoma WATUMISHI wapya wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, (NIRC), wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaamini na kuwapa nafasi nyingi vijana katika ajira za hivi karibuni. Pia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imewataka waajiriwa…
CAG afurahishwa na makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Geopark
Na Mwandishi Wetu, Karatu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, amefanya ziara maalum kwenye jengo la Makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark pamoja na kupanda mti wa kumbukumbu kwenye eneo la makumbusho hayo. CAG Kichere…
NIRC yakamilisha uchimbaji visima mashamba ya BBT Ndogoye na Chinangali
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekamilisha zoezi la uchimbaji wa visima katika shamba la Ndogowe na Chinangali lililoko chini ya Mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT), kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha Umwagiliaji. Akizungumza Kaimu…