Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia : Matumizi ya kuni na mkaa ni zaidi ya asilimia 90
Waafrika wanategemea sana matumizi ya kuni hivyo hatuwezi kupuuza madhara pamoja na gharama kubwa ya kuni na mkaa kwa ajili ya ustawi wa wanawake na wasichana. Hayo yamebainishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan huku…
Ukosefu wa umeme wa kutosha hupunguza Pato la Taifa -AFDB
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salam Ukosekanaji wa umeme wa kutosha hupunguza pato la Taifa (GDP) kwa asilimia 2 hadi 4 kwa kila mwaka.Upatikanaji wa umeme ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa Afrika. Hayo yameelezwa na Rais wa…
AfDB yamsifu Samia nishati safi, umeme
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia Afrika. Pia, AfDB imesifu juhudi za Serikali ya Tanzania kusambaza umeme katika vijiji vyote nchini. Rais wa AfDB, Akinwumi Adesina alitoa…
EAC kujadili mgogoro wa DR Congo
RAIS wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kanda ya Afrika Mashariki (EAC) utawajumuisha viongozi kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kujadili hatua za kuchukua katika kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea katika…
Tabora wapongeza kampeni ya msaada wa kisheria
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WANANCHI Mkoani Tabora wamepongeza serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Huduma za Msaada wa kisheria kwa jamii kwa kuwa inasaidia kutatua kero zao. Wametoa pongezi…