Category: MCHANGANYIKO
DC Kiteto awataka wananchi kuchangamkia fursa za EACOP
Na Mwandishi Wetu, JamhueiMedia, Kiteto Mkuu wa Wilaya ya Kitete Bw Remidius Emmanuel amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) zikiwemo za kusambaza bidhaa mbalimbali kwenye…
JK amhakishia Samia ushindi wa kishindo
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media,Kibaha Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan atapa kura zisizokuwa na mfano katika mkoa wa Pwani. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Septemba 28 alipopewa nafasi ya kuwasiliana…
Dk Jaffo: Watanzania watamchagua Samia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea wa ubunge Jimbo la Kisarawe, Dk Selemani Jafo (CCM) amesema Watanzania watamchagua mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya maendeleo aliyofanya kwa miaka…
Tanzania Kyrgyzstan kuanzisha Uhusiano wa Kidiplomasia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kyrgyzstan, Mhe. Zheenbek Kulubaev, wamesaini Tamko la Pamoja kuanzisha Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Muungano…
Ujumbe wa Malawi watemblea maonesho ya Nanenane ya teknolojia ya madini Geita
Na Mwandishi Wetu, Geita SHIRIKISHO la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) limepokea mwaliko rasmi kutoka kwa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Malawi kushiriki katika Maonesho ya Kwanza ya Teknolojia ya Madini nchini humo, yanayotarajiwa…
Deodatus Balile apongeza matumizi ya nishati jua katika kilimo na uhifadhi wa mazao
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile amewaasa waandishi wa habari nchini kuongeza nguvu katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu matumizi ya nishati ya jua hasa katika sekta ya kilimo na uhifadhi…





