JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Walimu wanyukana, mmoja atoa adhabu kwa wanafunzi, mwenzake aitengua

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mapinga, Johaness Nyambaza, anadaiwa kwenda shuleni akiwa na panga analoliweka ndani ya begi. Kitendo hicho kinadaiwa kuwasababishia walimu na wanafunzi wa shule hiyo iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani kusoma na…

Wauguzi imarisheni usimamizi utoaji huduma bora za afya nchini – Dk Dugange

OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amewaelekeza Wauguzi Viongozi wa ngazi zote za afya nchini kuhakikisha wanaimarisha usimamizi wa utoaji wa huduma bora ili wananchi wote wapate huduma bora…

Usafiri wa umeme waanza kupaa katika sekta ya usafiri wa mtandaoni Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Pikipiki na bajaji zimeendelea kuwa uti wa mgongo wa mifumo ya usafiri katika mataifa mengi ya Afrika Mashariki, zikihudumu kama teksi, vyombo vya usafirishaji wa mizigo, na usafiri wa watu binafsi. Sasa, mabadiliko…

Dk Mpango mgeni rasmi uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa Aprili 2

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa utakaofanyika Aprili 2, 2025 viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha,…