JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waandishi watakiwa kuhamaisha ufugaji nyuki

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia taaluma yao kutangaza elimu ya ufugaji wa nyuki kwa sababu mwamko wa ufugaji huo bado uko chini. Akizungumza na waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo ya ufugajinyuki yaliyoandaliwa…

Her Initiative watoa msaada kwa wasichana Kisarawe

Na Aziza Nagwa, JamhuriMedia, Kisarawe Shirika lisilo la kiserikali linalowasaidia wasichana kujiinua kiuchumi, Her Initiative imewapatia pesa na vifaa wasichana walio nje ya shule katika Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, ili waweze kujinufaisha kiuchumi. Akizungumza katika hafla hiyo, Mwakilishi wa…

VETA yajipanga kukuza ubunifu na ujuzi wa ufundi kufikia Dira ya Taifa 2050

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Profesa Sifuni Mchome amesema VETA itaendelea kuhakikisha Watanzania wa ngazi mbalimbali wanapata elimu na mafunzo ya ufundi ili kuwawezesha kujiajiri, kuajiriwa na…

Sekta ya mkonge yapaa, wawekezaji watakiwa kuchangamkia fursa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WATANZANIA na wawekezaji nchini wametakiwa kujitokeza kuchangamkia fursa zinazotokana na zao la mkonge, baada ya kuongezeka kwa mahitaji ya mbegu, mitambo ya usindikaji na bidhaa zinazotokana na zao hilo. Akizungumza kwenye Maonesho ya Wakulima na…

Afya ya udongo muhimu kabla ya kutumia mbolea

Na Mwandishi Wetu, JmahuriMedia, Morogoro Wakulima wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya ya udongo kwa ajili ya kujua aina ya virubutisho vilivyopo kwenye udongo kabla ya kuanza kutumia mbolea. Ofisa Ugani wa Minjingu Mines & Fertilizer Ltd Tanzania, Franks Kamhabwa…

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka minne

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbozi Mahakama ya Wilaya ya Mbozi imemuhkumu kifungo cha maisha mfanyabiashara Athumani Mohamed Mtimbwa (35) kwa kosa la kumvuta na kumuingiza katika kibanda chake cha biashara na kumbaka mwanafunzi wa darasa la awali mwenye umri wa…