JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Aliyejaribu kumuua Trump apatikana na hatia

Ryan Routh amepatikana na hatia ya kujaribu kumuua Rais Donald Trump kwenye uwanja wa gofu wa Florida Septemba mwaka jana. Mahakama ilimpata Routh, 59, na hatia ya mashtaka yote, ikiwa ni pamoja na jaribio la mauaji ya mgombea mkuu wa…

Dk Mpango awavutia wawekezaji wa Marekani kuja kuwekeza Tanzania kupitia PPP

Na Mwandishi Maalum, New York Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango, ametoa mwito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na wawekezaji binafsi, akisisitiza kuwa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) ni nguzo muhimu ya kufungua fursa…

SUA wamuokoa mtoto wa tembo aliyenasa na mtego Pori la Kilombero

Timu ya wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ikiongozwa na Dkt. Richard Samson, imefanikiwa kuokoa mtoto wa tembo aliyenaswa na mtego kando ya Mto Ruhidgi, katika Pori la Akiba la Kilombero, Wilaya ya Malinyi, Morogoro.  Mtego huo,…

PBA yapinga vikali hatua zilizochukua TLS, yasema ni ukiukaji wa haki za wananchi

CHAMA cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimepinga vikali hatua ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutoa maelekezo yanayozuia wanasheria kutotoa msaada wa kisheria kwa wananchi, kufuatia tukio la kushambuliwa kwa Wakili Deogratius Mahinyila na askari Polisi Septemba 15, 2025, alipokuwa…

Rostam Aziz atajwa mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wazawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati mataifa mbali mbali duniani yakitoa kipau mbele kwa wananchi wake kumiliki uchumi kupitia upendeleo maalum kwenye biashara na uwekezaji, Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), imempongeza mfanyabiashara maarufu nchini Rostam…

Dk Samia karibu Tanga, umetwnda mazuri mengi, Oktoba 29 tunarundika kura kwako

Na: Dkt. Reubeni Lumbagala, Tanga Mgombea Urais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea na kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mikoa mbalimbali…