JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mwalimu angekuwapo leo, angeitwa mhaini

Na Joseph Mihangwa, JamhuriMedia, Shinyanga “Waasi wa Serikali, wengi kuliko wa dini, wengi hawaendi kusali, lakini wana imani, ambayo kwamba kamili, bila kasoro moyoni. Kama haba ya adili, Serikali huwa chini, ikawa yatenda feli, za shari na nuksani, na dhuluma…

Wanasiasa msibeze maendeleo yaliyoetwa na Rais Samia – Waziri Ndumbaro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damas Ndumbaro amewataka wanasiasa kutojifanya hawayaoni maendeleo katika sekta mbalimbali yaliyoletwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Dkt Ndumbaro ametoa wito huo katika…

Serikali Awamu ya Sita kinara utoaji wa fedha za ruzuku kwenye kilimo – Bashe

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kinara katika ukanda wa Kusini mwa Afrika kwa kutoa fedha nyingi za ruzuku katika sekta ya kilimo cha mazao mbalimbali ya…

Taasisi za habari zatakiwa kushirikiana na Bunge

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya J⁸ukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Joseph Kulangwa, ametoa mwito kwa taasisi za habari kuimarisha ushirikiano na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhakikisha upatikanaji wa sheria bora…