JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mama Salma: Njia pekee kuthamini kazi kubwa aliyofanya Dk Samia ni kumpa kura, Ridhiwan kiongozi mwenye dira

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, ametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze, kumpigia kura za kishindo mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema…

Kufufuliwa kwa reli ya TAZARA, ujenzi wa reli kusini utaleta mageuzi makubwa kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kufufuliwa kwa Reli ya TAZARA, ujenzi wa reli ya kusini Mtwara -Mbamba bay) utaleta mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa mikoa ya Kusini na…

Bilioni 51/- za mradi wa TACTIC kuongeza thamani ya Jiji la Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 51 katika halmashauri ya jiji la Mbeya ikiwa ni uendelezaji wa jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi….

Wajasiriamali waliomba dawati maalum la uwezeshaji TRA kuwa mwarobaini wa kero zao

Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Musoma WAJASIRIAMALI mkoani Mara waiomba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha wanatatua na kusikiliza kero pamoja na changamoto zao kupitia dawati maalum la uwezeshaji lililoanzishwa ili kushiriki kikamilifu katika ulipaji mapato. Wameyasema hayo wakati wa hafla…