JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wazalishaji wa bidhaa za mifuko ya plastiki kudhibitiwa

Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kuwachukulia hatua watu na kampuni zinazoendelea kuzalisha bidhaa za mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kwa wanaoingiza na kuzalisha bidhaa za…

RC Kigoma azindua zoezi la ugawaji vyandarua vyenye dawa bure

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika ngazi ya kata, mitaa, vijiji na kaya, mkoani humo, ambapo vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vitagawiwa bure kwa…

Wafanyakazi JKCI watakiwa kufanya kazi kwa kufuata taratibu za utumishi wa umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata taratibu za utumishi wa Umma hii ikiwa ni pamoja na kuwa na weledi na nidhamu ya kazi. Rai hiyo…

Serikali yashauriwa kufanya tathmini ya hali ya kifedha kwa NGOs

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetakiwa kufanya tathmini ya hali ya kifedha ya Asasi za Kiraia (NGOs) kufuatia kufutwa kwa misaada kutoka serikali ya Marekani na baadhi ya nchi nyingine zilizoanza mchakato wa mabadiliko ya utoaji wa misaada hiyo….

Migogoro ya ndoa 97,234 yatatuliwa, 15, 414 yapelekwa mahakamani 

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum,Dkt Dorothy Gwajima amesema Wizara imetatua migogoro ya ndoa 97,234 hadi kufikia Aprili, 2025 kupitia Kitengo cha Ustawi wa Jamii katika ngazi ya Halmashauri hadi Taifa. Amesema kati…

Takukuru Mtwara yaokoa mil 79/- za AMCOS

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa chini (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha kuokoa zaidi ya Sh milioni 79  fedha za wakulima wa korosho kutoka vyama mbalimbali ya msingi mkoani humo kwa msimu wa mwaka 2024/2025. Akizungumza…