Category: MCHANGANYIKO
TMA yatoa elimu ya hali ya hewa Nanenane
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetumia fursa ya Maonesho Nanenane 2025 kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma kutoa elimu kwa jamii kuhusu huduma zitolewazo na jukumu kubwa la TMA la kudhibiti shughuli…
TANESCO yazindua mfumo wa kupokea taarifa za siri
Na Mwandishi wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mfumo wa kupokea taarifa za siri (Whistleblower portal) ambapo mfumo huo unaenda kurahisisha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wananchi. Amebainisha hayo Agosti 4,2025 Jijini Dar es Salaam,Kaimu…
Wagombea ubunge CCM Kibaha Mjini kila mmoja aanika ahadi kwa uzito
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katika zoezi la kupiga kura za maoni kwa ajili ya kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jumla ya wajumbe 5,743 walijitokeza kupiga kura kati ya 6,300 waliotarajiwa…
Viongozi waandamizi sekta ya umma barani Afrika kutoka nchi 9 za kiafrika wakutana Arusha
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha VIONGOZI waandamizi wa sekta ya umma barani Afrika kutoka nchi 9 za kiafrika wamekutana jijini Arusha kwa siku tano kwenye programu ya mafunzo ya uongozi kwa viongozi wa Afrika ambayo yamelenga kuwapa ujuzi, mbinu za…
Dk Biteko apata kura za ndio 7441
Idadi ya wapiga kura Jimbo la Bukombe – Geita ni 7, 845 Wajumbe waliohudhuria 7456Wajumbe wasiohudhuria 389Idadi ya kura zilizopigwa 7456Idadi ya kura zilizoharibika 15Idadi ya kura halali 7441 ✅ KURA ZA NDIO 7441✅ KURA ZA HAPANA 00 WASTANI WA…





