Category: MCHANGANYIKO
Waziri Kombo awalisi nchini Singapore kwa ziara ya Kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29 Agosti 2025. Akiwa katika ziara hiyo Waziri Kombo atashiriki katika matukio mbalimbali…
Marafiki wa Tanzania watoa msaada wa vifaa vya elimu Kipalapala
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MARAFIKI wa Tanzania kutoka nchini Italia (Amici Della Tanzania) wametoa msaada wa vifaa vya elimu na kuboresha vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Kipalapala iliyoko katika kata ya Itetemia Mjini Tabora. Vifaa vilivyokabidhiwa ni…
Waziri Gwajima azindua mradi wa kusaidia watoto wanaoishi na kufanyakazi mtaani
Na WMJJWM-Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS) utaotekelezwa katika mikoa ya Dar Es Salaam,…
Mradi wa TACTIC kubadilisha mandhari ya Jiji la Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Dkt. Fredrick Sagamiko ameeleza kuwa ujio wa mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) umekuwa na manufaa makubwa kwa kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali katika jiji…
Mashirika ya umma yatakiwa kuendeleza ubunifu na mageuzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mashirika ya Umma nchini yameshauriwa kuendeleza ubunifu, wepesi na mageuzi ya kimkakati ili kuongeza tija na kuchochea maendeleo ya taifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuyawezesha mashirika hayo kuwa yenye ushindani na ufanisi mkubwa….
Ahadi ya Serikali kufikisha umeme wa gridi Kagera yatekelezwa
📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya…