JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Auawa kwa kukutwa na aliyekuwa mke wa mtu

Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia Athumani Baseka (39), fundi seremala na mkazi wa kijiji cha Kamhanga wilayani Geita kwa tuhuma za mauaji ya Faida Lucas (34) ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Bugalama. Tukio hilo lilitokea usiku…

CCM: Uchaguzi Serikali za Mitaa kutumia 4R za Rais Samia

CHAMA Cha Mapunduzi(CCM) kimesema uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024 utaongozwa na 4R za Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuzingatia kuheshimiana na kuvumiliana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(CCM-NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo…

TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma

TRC: KUSIMAMA KWA TRENI YA MCHONGOKO NI HUJUMA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeutaarifu umma kupuuza taarifa zinazosambazwa na baadhi ya watu kuhusu kusimama kwa treni za EMU, Electric Multiple Unit (mchongoko) pamoja…

Waziri Silaa mgeni rasmi mkutano wa nane wa Jukwaa la Wahariri kesho

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa anarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano Mkuu wa nane wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Mkutano huo ambao unaanza kesho Alhamisi Novemba 07-09,…

Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 zaendelea kushuka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BEI za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka ambapo bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tanga imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku…

DAWASA yakutana na wananchi Msakuzi kupata hatma huduma ya maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya…