JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

DC Maiga azindua mradi wa mahema unaotekelezwa na TCCIA kwa ushirikiano na AGRA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Hamisi Maiga, amezindua rasmi mahema maalumu ya kuboresha mazingira ya biashara kwa vijana na wanawake katika mpaka wa Mutukula, mkoani Kagera. Mradi huo unatekelezwa na TCCIA kwa ushirikiano na AGRA,…

Waziri Ndejembi akabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Nishati Dk Biteko

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za Wizara zilizoko mtumba mkoani Dodoma, na kumshukuru Mhe. Biteko kwa…

Rais Samia azindua Tume Huru ya Uchunguzi uvunjifu wa amani Oktoba 29

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma…

BoT yaongeza msukumo kwenye urasimishaji wa huduma ndogo za fedha

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeendelea kuhimiza urasimishaji wa vikundi vya huduma ndogo za fedha (VICOBA) kama njia ya kuhakikisha usalama wa fedha na uwazi wa shughuli za vikundi. Wataalamu wa benki hiyo wameeleza kuwa urasimishaji unaweza…

CRDB Al Barakah Sukuk yavutia zaidi ya wawekezaji 1,000 kukusanya shilingi bilioni 125.4 na dola milioni 32.3

*Ni mafanikio ya asilimia 646 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Benki ya CRDB imetangaza mafanikio ya kihistoria pamoja na kuiorodhesha rasmi hatifungani yake inayofuata misingi ya sharia ya dini ya Kiislamu ‘CRDB Al Barakah Sukuk’ katika Soko la Hisa…