Category: MCHANGANYIKO
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema ipo tayari kusikiliza maoni ya kila mmoja ili kuhakikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inakuwa halisi na shirikishi. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na…
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mh.Stanslaus Haroon Nyongo (Mb,)ameziomba Asasi za Kiraia (AZAKI) kufanya majadiliano ya pamoja badala ya kujikita kwenye ukosoaji, ili kujenga uelewa wa pamoja utakaofanikisha…
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inathamini ushirikiano uliopo na Taifa la Marekani ambao umetoa mchango katika maendeleo ya sekta mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifanya mazungumzo ya kumuaga Balozi…
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza kuwa inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 10, 2025, na Kamishna…