JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi Taifa (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kutoka na hali halisi inayoendelea kila nchi inaonyesha kuwa demokrasia inaendelea kuporomoka duniani. Prof.Lipumba aliyasema hayo leo Januari 7,2025 jijini Dar es Salaam…

Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi wa Pemba kuwa Barabara nyingi Kisiwani humo zitajengwa kwa Kiwango cha Lami. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo alipozindua Barabara za Kilomita 10 za Micheweni –…

PPPC yatoa mafunzo ya uwekezaji kupitia ubia kwa madiwani wa Ilemela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KITUO Cha Ubia kati Serikali na Sekta binafsi (PPPC) kimetoa mafunzo namna ya uwekezaji kupitia Ubia kwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza ambao wameambatana na Menejimenti ya Manispaa ya Ilemela…

Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma

📌Mitungi 19,530 kuuzwa kwa bei ya ruzuku kwa lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye…

Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano

Na Mwandishi Wetu, Kibaha WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema jumla ya wilaya 108 nchini zimefikiwa na ujenzi wa miundombinu ya Mkongo wa Taifa hatua ambayo imesaidia kurahisisha mawasiliano ya data hususani maeneo ya vijijini. Naibu Waziri wa…