JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yaunga mkono wawekezaji mifuko mbadala

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono na kuwatia moyo wawekezaji wa viwanda vya kuzalisha mifuko mbadala na vifungashio vyenye viwango, hatua inayosaidia jamii kuachana na mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri…

Rock Block yachochea mapinduzi ya ujenzi Kilimanjaro

📍Rombo, Februari 28, 2026 MGODI wa Rock Block uliopo Wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, umeendelea kuwa kichocheo cha mageuzi katika Sekta ya Madini ya Ujenzi kwa kuzalisha ajira 122 na kuiingizia Serikali zaidi ya Shilingi milioni 400 katika kipindi cha miaka…

Rais Alhaj Dk Mwinyi ahimiza huruma na mshikamano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza waumini wa dini ya Kiislamu wenye uwezo kuwasaidia wasio na uwezo ili nao waweze kutimiza ibada ya funga ipasavyo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ameyasema…

Serikaki yadhamiria kumaliza changamoto ya usafiri Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa DART amesema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha inamaliza…

Serikali yawashauri wananchi kuchukua tahadhari na kujikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali

Na Mwandishi wetu– WAF, Dar es Salaam. Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari na kufuatilia ushauri wa kitaalam ili kujikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali kama ilivyoelezwa katika taarifa kwa umma ya Mganga Mkuu wa Serikali hivi karibuni Hayo…