Category: MCHANGANYIKO
Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAWAKILI wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Tabora wamelaani vikali kitendo cha kuzuiwa kutekeleza majukumu yake mmoja wa wanachama wake alipokuwa akifuatilia masuala ya wateja wake waliokamatwa. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana…
Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam waliohitimu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na shule za vipaji maalum. Mkuu wa shule hiyo,…
Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa Kisiwani Tumbatu iliyogharimu Shilingi Bilioni 7.015. Akizungumza na wananchi baada ya kuifungua Skuli hiyo ya Sekondari…
Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
📌 Mpango Mahsusi wa kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 (Mission 300) kusainiwa 📌 Kupitia Mission 300 Tanzania itaunganishia umeme wateja milioni 8.3 Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati…
Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9. Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari,…