Category: MCHANGANYIKO
Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
Imeelezwa kuwa Tanzania haikuchaguliwa kwa bahati mbaya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, isipokuwa imekidhi vigezo ambavyo waandaji wamejiridhisha navyo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje…
Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani
Na Mwandishi Wetu, JahuriMedia, Kilimanjaro Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika…
Mtoto ajinyonga kwa kukosa nguo za sikukuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Mwanafunzi wa darasa la tatu katika kijiji cha Uruwila Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 3, 2025 Kamanda wa Polisi…
Rais Mstaafu Kikwete apongeza maendeleo Zanzibar
Na Mwandishi wetu RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amepongeza kasi ya maendeleo inayoshuhudiwa visiwani chini ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein…
Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati waishukuru JWTZ
Umoja wa viongozi wa madhehebu ya dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameonesha imani kubwa ya ulinzi wa amani unaotolewa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini humu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti mara baada ya kutembelewa na…