Category: MCHANGANYIKO
Uboreshaji bandari ya Karema unaofanywa na Serikali kupitia TPA wavutia wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi MABORESHO na ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imevutia wawekezaji katika Bandari ya Karema iliyopo Ziwa Tanganyika, mkoani Katavi, Wilaya ya Tangabyika. Hayo yameelezwa leo…
Ubovu wa barabara Arusha, kikwazo cha maendeleo, usalama na hadhi ya Jiji la Kitalii
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Jiji la Arusha, moja ya miji muhimu ya kitalii na kibiashara nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa ya ubovu wa barabara, hasa zile zilizopo katikati ya mji. Barabara nyingi ni nyembamba na hazijaendelezwa kulingana na…
Rais Samia aongoza Watanzania mazishi ya hayati Cleopa Davis Msuya wilayani Mwanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza waombolezaji katika ibada ya kuuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri…
Dk Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi
📌Ushirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizi mbili katika Sekta ya Nishati. Mara baada ya kuwasili, Dkt….





