Category: MCHANGANYIKO
Simba Yapitisha Majina ya Wagombea Uongozi
Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Boniface Lyamwike, imeweka wazi majina ya waliopita kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ambapo wagombea wawili wameondolewa kati ya 21 waliochukua fomu. Taarifa ya kamati hiyo imewataja waliopitishwa…
Yanga Yaendele kujiweka Fiti kwa Ajili Yeyote atakeyekuja Mbele
Na George Mganga Klabu ya Yanga imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United utakaopigwa Uwanja wa Taifa mwishoni mwa wiki hii. Yanga imezidi kujifua chini ya Kocha wake Mkuu, Mkongomani Mwinyi Zahera…
Haji Manara Waangukia Mashabiki wa Simba
Baada ya kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa CCM Kirumba, jijini Mwanza, uongozi wa klabu ya Simba umewaomba radhi mashabiki wake. Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameibuka na kuomba…
SIMBA YAWEKA REKODI NYINGINE
Klabu ya Simba imeendelea kuweka rekodi kwa msimu wa pili mfululizo kuwa ni timu ya kwanza kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Bara. Msimu huu mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda Meddie Kagere ndiye alikuwa mchezaji bora…
KOCHA CHELSEA AWATAJA WAFUNGA MABAO BORA LIGI KUU ENGLAND
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Kwa mujibu wa BBC, Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya…
Mechi 8 Mfululizo Yanga kucheza ndani ya Jiji la Dar es Salaam
Ratiba ya mechi 11 za Yanga zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara. Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini. Yanga SC vs Stand United Yanga SC vs Coastal Union Yanga SC vs Singida…





