Category: MCHANGANYIKO
REA yapeleka umeme vitongoji 120 Kigoma
*Rais Samia ametoa shilingi bilioni 14 kutekeleza mradi huo. *Mradi kupeleka umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye majimbo 15 ya Mkoa wa…
Wizara ya Madini yabainisha mikakati yake kwa wachimbaji
*Mkakati wa kuwaendeleza na kuwasogezea huduma za Ugani mkoani Dodoma *Mkakati wa kuwapatia maeneo mapya yaliyofanyiwa utafiti wa kina *Mkakati wa kujenga Maabara mpya ya kisasa mkoani Dodoma Na Samwel Mtuwa, Dodoma Imeelezwa kwamba katika kuendeleza shughuli za uchimbaji mdogo…
Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa,
. Na Abel Paul, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya…
DC Magoti atoa tahadhari ya mikopo kausha damu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani Petro Magoti, ametoa tahadhari kwa baadhi ya vijana na akinamama kujiepusha na mikopo ya kibiashara isiyo na nafuu ambayo inafahamika kwa “mikopo ya kausha damu.” Alisisitiza kuwa mikopo…
TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita katika kuendelea kuhamasisha ulipaji kodi wa hiali Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imezindua Ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu ambayo kwa lengo…