Category: MCHANGANYIKO
Dk Mataragio atembelea vituo vya mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP zilizoko Igunga mkoani Tabora
*📌Ni vya Kuongeza msukumo(pressure) wa mafuta PS-5 na kambi ya kuhifadhi mabomba namba 10 *📌 Ujenzi wa kituo cha kupunguza kasi ya mafuta wafikia asilimia 41 📌 *Apongeza uwepo wa wazawa kwenye shughuli za mradi ikiwemo wanawake Na Neema Mbuja,…
Mradi wa Sequip kumkomboa mtoto wa kike Dar na Ruvuma
Na Mwandishi Wetu Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam…
INEC yazindua rasmi kalenda ya uchaguzi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMediaDodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Julai 26, 2025 imezindua rasmi Kalenda ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025. Uzinduzi huo umefanyika…
Mahakama yajenga uwezo wa waandishi kuripoti kwa usahihi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Katika kuhakikisha jamii inapata taarifa zilizo sahihi na zenye usawa kuhusu mwenendo wa haki nchini, Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA), imeendesha mafunzo ya kitaalamu kwa waandishi wa habari…
CCM kufanya marekebisho madogo ya katiba
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu Maalum kwa njia ya mtandao kesho, Julai 26, 2025, kwa lengo la kujadili ajenda moja kuu ya marekebisho madogo ya Katiba ya Chama hicho. Akizungumza na…





