Category: MCHANGANYIKO
Pamoja tutashinda Tanzania yashiriki tukio la kusimikwa mtemi ea 24 wa Busiya chifu Majwaia wa III
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Shinyanga TAASISI ya Pamoja Tutashinda Tanzania (PATUTA) imeshiriki katika tukio kubwa la kusimikwa kwa Mtemi mpya wa 24 wa Busiya Austin Makani Makwaia ‘Chief Makwaia wa III’ katika Ikulu ya Busiya Ukenyenge Wilaya ya Kishapu mkoani…
TRA yawaalika wananchi Sabasaba kupata elimu ya Kodi na huduma za TIN
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imewaita wananchi kutembea banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba ili kupata elimu na huduma mbalimbali za…
Waziri wa Maliasili na Utalii awataka maafisa kufanyakazi kwa bidii kwa bidii na weledi mkubwa
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Maafisa kufanya kazi kwa bidiii na weledi mkubwa katika kutekeleza majukumu yao kwa kuwa cheo ni dhamana na kinakuja na majukumu. Dkt.Chana ameyasema hayo…
Muhimbili yasogea karibu na wananchi kupitia Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila imesogea karibu na wananchi kwa kushiriki katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13…
Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili sekta ya nishati na maji
📌 Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa 📌 Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele 📌 Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda 📌 Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi pamoja na umeme…
Mtetezi wa Haki za wenye ulemavu ajitosa kuwania Ubunge Mpwapwa
Na Dotto Kwilasa, Mpwapwa Mtetezi wa haki za watu wenye ulemavu Dodoma Maiko Salali amejiweka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika ofisi za…