Category: MCHANGANYIKO
Serikali kuboresha sekta ya sheria kwa kuajiri maafisa sheria, mawakili na mahakimu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inaendelea na jitihada katika kuboresha sekta ya sheria nchini kwa kuajiri Maafisa Sheria, Mawakili wa Serikali pamoja na Mahakimu lengo likiwa ni kuhakikisha huduma bora…
Pwani yaagiza kila Halmashauri kupanda miti milioni 1.5
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani umeziagiza Halmashauri zote za Mkoa huo, kuhakikisha zinapanda miti angalau milioni 1.5 kila moja ili kufikia lengo la upandaji miti la mwaka 2024/2025 kwa asilimia 100. Aidha kila shule iwe na kitalu…
Mawakili wasisitizwa kuishauri Serikali kwa weledi
📌Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za Asasi za Kiraia kuhudumia Wananchi 📌Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma za sheria nchini 📌Wawakili wahimizwa kuwa ‘marafiki’wa Mungu badala ya Mahakama 📌Dkt. Biteko ataja mikakati ya Serikali kuboresha huduma za sheria…
TAMWA, TCRA kutoa tuzo za wanahabari za ‘Samia Kalamu Award’
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kutoa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Award’ zinazolenga kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo unaojikita katika kufanya uchambuzi wa utafiti wa…
Trump: Iran inatufanyia mchezo kuafikiana kuhusu Nyuklia
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anaamini Iran inachelewesha kwa makusudi kufikiwa kwa makubaliano ya nyuklia, akionya kuwa hatua hiyo inaweza kuigharimu nchi hiyo kwa kiasi kikubwa, ikiwemo uwezekano wa kushambuliwa kijeshi. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Oman…





