JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Bunge kukusanya Bil. 3/- kwa ajili ya shule ya wavulana

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kupitia Bunge Marathon 2025 Bunge limepanga kukusanya Sh bilioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Wavulana ya Bunge Jijini Dodoma. Kauli hiyo ameitoa leo…

Uchaguzi Tanzania 2025; Chadema ‘yasusia’ kusaini kanuni za maadili

Na Mwandishi Wetu Chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimetangaza kususia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ambaye ndiye mwenye dhamana ya kusaini kanuni hizo kwa niaba ya chama…

LHRC kushirikiana JOWUTA kuwajengea uwezo wanahabari katika masuala ya haki zao na sheria za kazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Kituo cha sheria na haki za binaadamu(LHRC) kimeahidi kufanyakazi na Chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari(JOWUTA) katika kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu sheria za kazi na sheria zinazohusu sekta ya habari. Mkurugenzi wa Uchechemuzi…

Zao la mwani, katani na korosho kuingizwa katika mfumo wa stakabadhi ghalani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameiagiza Bodi ya Stakabadhi za Ghala kuhakikisha zao la Mwani, linakuwa zao la kwanza kuingizwa kwenye Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika Mkoa wa Tanga…

Vyama vya siasa 18 vyasaini kanuni za maadili, CHADEMA yakosa mwakilishi

Vyama vya siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki Katika kikao Cha kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Mwaka huu huku chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa hakina uwakilishi. Kanuni hizo zinasainiwa…

Serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza kwenye mahojiano…