Category: MCHANGANYIKO
Uingereza yatangaza ‘muungano’ wa kushirikiana na Ukraine kumaliza vita na kuilinda
Uingereza, Ufaransa, na mataifa mengine yataongoza muungano huu, na watajaribu kuhusisha Marekani ili kupata msaada kwa Ukraine, alisema Starmer. Huu ni baada ya mkutano wa kilele wa viongozi 18, wengi wao wakitoka Ulaya, wakiwemo Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye…
Ripoti maalum kuhusu mwenendo wa mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Uhispania
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa ni siku chache tu tangu ilipotimia miaka 58 ya mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Hispainia. Historia inatueleza kuwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi mbili za Tanzania na Uhispania yaliasisiwa…
Nayikole wafurahia miradi ya maendeleo
Wakazi wa kijiji cha Navikole kata ya Chawi, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameipongeza serikali kwa kuwaletea miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye kijiji hicho ikiwemo umeme, zahanati na maji. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliyofanyika katika kijiji hicho…
Waliyopambania wanawake wenzetu matunda tunayaona Mbuja
📌 Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Nishati, Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambania katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa…
EACOP , PCK kufadhili masomo kwa vijana 80 hapa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kushirikiana na mkandarasi wa kusambaza mabomba PANYU CHU KONG STEEL PIPE (PCK) wametoa ufadhili wa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa vijana 80 wa…
NFRA yajivunia mafanikio ya utendaji miaka 4 ya Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) umesema kuwa unajivunia mafanikio uliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza uwezo wa uhifadhi wa…