JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia:Hakuna maandamano Oktoba 29, nendeni mkapige kura

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania hakutakuwa na maandamano Oktoba 29 na kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura bila wasiwasi. Rais Samia ametoa kauli hiyo, wakati akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya…

Samia: Kuanzia Januari mtaona mabadiliko makubwa mwendokasi

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam kuwa kuanzia Januari mwaka ujao wataanza kuona mageuzi makubwa ya uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi (BRT). Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati wa…

Ulega afunguka miradi Jiji la D’Salaam

Mgombea ubunge Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 97 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la juuu katika eneo la Jangwani, Dar es Salaaam. Ulega ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu…

Dk Mushi: Kufeli sio mwisho wa safari kielimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowanyima watoto wao fursa ya kuendelea na elimu nje ya mfumo rasmi pale wanapofeli au kupata ufaulu mdogo katika mitihani yao, kwani huo si mwisho wa safari ya…

Wanafunzi wa darasa la nne 1,582,140 kufanya mitihani Oktoba 22 hadi 23

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Jumla ya shule 20,517 Wanafunzi wa Darasa la nne Waliosajiliwa Mwaka huu 1,582,140 wanatarajia kufanya Mtihani wa Upimaji wa kitaifa Oktoba 22 hadi 23,2025 ambapo kati ya hao wavulana 764,290 Sawa na asilimia 48.31 huku…

Tarimba: Samia ametufanyia makubwa ndani ya Kinondoni

Mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni,Dar es Salaam, Tarimba Abbas Tarimba amesema ndani ya miaka minne jimbo hilo limepata maendeleo makubwa kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Rais Samia Suluhu. Tarimba ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya wananchi…