JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Doyo Hassan Doyo aidhinishwa na NLD kuwania urais 2025

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha National League for Demokracy (NLD) Kimemuidhinisha Doyo Hassan Doyo kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama.hicho katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 huku Mfaume Khamisi Hassani akiidhinishwa kiwania Urais wa Zanzibari Akizungumza mara…

Sherehe za Muungano za mwaka huu zifanyike mikoa yote

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza maadhimisho ya sherehe za Muungano za mwaka huu yafanyike katika mikoa yote yakiongozwa na viongozi wakuu wa Serikali. Ameyasema hayo alipowasilisha hotuba kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na…

Serikali, Benki ya Dunia kuendelea kushirikiana kuboresha sekta ya afya

Na WAF Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekutana na kufanya kikao na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bw. Daniel Dulitzky ambaye ameongozana na ujumbe wake akiwemo Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia…

TAKUKURU: Rushwa katika chaguzi inadhoofisha utawala bora na demokrasia

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila, amesema rushwa katika uchaguzi inaweza kudhoofisha utawala bora na demokrasia, ambapo baadhi ya wananchi wenye sifa za uongozi bora (mfano uadilifu na uwajibikaji) hushindwa kugombea au kutoteuliwa ama…

DCEA yateketeza kilogramu 94. 8 za dawa za kulevya Arumeru

Ofisi ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanda ya Kaskazini kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo imeteketeza kiasi cha kilogramu 94.828 cha dawa za kulevya aina mirungi katika dampo la Halmashauri lililopo eneo…