JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Jumla ya watahiniwa 134,390 kufanya mtihani wa kidato cha Sita kesho

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025 unaoanza kesho ambapo watahiniwa wa shule ni 126,957 na watahiniwa wa kujitegemea ni 7,433. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei…

Rais Samia amedhamiria kuleta Serikali kwa wananchi ili kuleta maendeleo -Mchengerwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imedhamiria kwa dhati kuisogeza Serikali…

THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa JOWUTA

.Yamuomba Rais Maridhiano ya Kisiasa Mwandishi wetu,Dar es Saalam. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binaadamu Tanzania(THRDC) umekabidhi jaketi za usalama kwa waandishi wanachama wa Chama cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) huku ikimuomba Rais Samia Suluhu kurejesha maridhiano…

Dk Biteko aipongeza ETDCO kwa kutekeleza mradi wa kusafirisha umeme Tabora Urambo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) chini ya uongozi wa Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni hiyo CPA. Sadock Mugendi kwa…

Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya madini bilioni 224.98 kwa mwaka 2025/2026

▪️ Maabara ya Kisasa ya Madini kujengwa Dodoma ▪️ Helikopta kununuliwa na kufungwa vifaa maalum kwa ajili ya utafiti ▪️ Wachimbaji Wadogo, Wanawake na Vijana ni sehemu ya Kipaumbele Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya…