JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya madini bilioni 224.98 kwa mwaka 2025/2026

▪️ Maabara ya Kisasa ya Madini kujengwa Dodoma ▪️ Helikopta kununuliwa na kufungwa vifaa maalum kwa ajili ya utafiti ▪️ Wachimbaji Wadogo, Wanawake na Vijana ni sehemu ya Kipaumbele Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya…

Serikali yavuna bilioni 726, 219 sekta ya madini

• Ni kuanzia Julai 2024, hadi Aprili 2025 • Vibali 9,540 vya usafirishaji madini nje ya nchi vyatolewa • Matumizi ya Baruti yaongezeka WIZARA ya Madini kupitia Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi 726,219,317,398.14 ambapo Shilingi 612,593,046,886.50 ni…

NIDA yamnasa mtengeneza vitambulisho feki

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mamlaka ya Vitambulisho Vya Taifa (NIDA) ,imefanikiwa kumkamata mtu aliyekuwa anajihusisha na utengenezaji vitambulisho feki kwa Wananchi Danford Mathias mkazi wa Chalinze mkoani Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa mamlaka ya…

TLS yalaani vitendo vya ukiukwaji wa haki

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Uongozi la Chama cha Sheria Tanganyika (TLS), limelaani vikali vitendo visivyo halali vilivyofanywa na Jeshi la Polisi la Tanzania, ambavyo vimekiuka kwa kiwango kikubwa haki zilizolindwa na Katiba na hadhi ya…

Mwenge wapita Mufindi, mradi wa REA wa bilioni 17 wazinduliwa

📌Rais Samia aipongeza REA utekelezaji miradi ya umeme vijijini 📌Kiongozi wa Mwenge ahamasisha matumizi ya nishati safi na salama 📍Mufindi – Iringa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa…