JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Same yachukua hatua kudhibiti migogoro ya ardhi

Na Ashrack Miraji,JamuhuriMedia, Same Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ametoa wito kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, wakiwemo Afisa Ardhi, Mwanasheria na Madiwani, kushirikiana kwa karibu katika kutatua migogoro ya ardhi kwenye kata zote za wilaya hiyo….

Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi Njombe

Na Happiness Shayo, JamhiriMedia, Ludewa Wafanyakazi wilayani Ludewa, mkoani Njombe, wamepokea kwa shangwe na furaha nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika maadhimisho Siku…

Jiungeni na vifurushi vya NHIF- Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amewataka wananchi kujiunga na vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya wakati taratibu za utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote zikikamilika. Ametoa wito…