JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mbegu za miti ya asili zavutia wananchi Banda la TFS Maonesho ya Mazingira Dodoma

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakazi wa Jiji la Dodoma na wageni kutoka maeneo mbalimbali wameonyesha kuvutiwa na mbegu bora za miti ya asili zinazozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), wakieleza kuwa elimu wanayoipata kutoka banda la TFS…

Serikali yatoa bil. 26.9 kujenga skimu ya umwagiliaji Mwamapuli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu…

Majaliwa : TBS hakikisheni soko la Tanzania linakuwa na bidhaa bora

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Shirika la Viwango Tanzania kutokuwa na huruma na bidhaa zisizokuwa na ubora kwani Serikali inataka soko la Tanzania liwe na bidhaa bora, salama na zenye kuleta tija kwa mlaji na kwa uchumi. Amewataka…

Serikali kuzifanyia ukarabati shule kongwe zilizochakaa

OR – TAMISEMI Serikali kupitia bajeti yake ya mwaka 2025/2026 inakusudia kuzifanyia ukarabati shule zote kongwe za msingi na sekondari zilizochakaa ili kuzirejesha katika mwonekano wake wa awali. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 04, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu…

Mahakama ya Rufani yatumbilia mbali rufaa ya Mwananchi, yatakiwa kumlipa Mchechu bil. 2.5/-

Na Mwandishi wetu- Mahakama ya Rufani, Dodoma Mahakama ya Rufani ya Tanzania leo imetoa uamuzi wake katika Rufaa Namba 658 ya mwaka 2023, iliyowasilishwa na Mwananchi Communications Ltd pamoja na Mhariri wa The Citizen Newspaper, dhidi ya Nehemia Kyando Mchechu,…

Waziri Kombo anadai fursa za uwekezaji Tanzania nchini Kosovo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Kosovo kuja kuwekeza nchini katika maeno matano ya kimkakati ambayo ni kilimo, madini,teknolojia, uhifadhi wa mazao ya nafaka na utalii. Me….