Category: MCHANGANYIKO
Waziri wa New Zealand ajiuzulu
Waziri wa biashara wa New Zealand Andrew Bayly amejiuzulu kama waziri wa serikali baada ya ‘kuigusa’ sehemu ya juu ya mkono wa mfanyakazi wake wiki iliyopita, katika kile alichoelezea kama tabia ya ‘kupindukia’. Bayly alisema siku ya Jumatatu kwamba “anasikitika…
Shule binafsi za awali, msingi 101 zanufaika na mradi wa Opportunity International
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Dar Ofisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eva Mosha, ametoa rai kwa wamiliki na walimu wa shule binafsi za awali na msingi kuimarisha ufanisi wa ufundishaji na kuboresha ubora wa elimu, ili kuinua…
ETDCO yaibuka kidedea tuzo za ZICA
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA) zilizofanyika Februari 22, 2025,…
Rais Samia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la Mkomazi
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Mkomazi pamoja na kushuhudia utiaji saini wa mikataba miwili ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Kwa Mujibu wa Taarifa…
Serikali yaweka msisitizo ujenzi uchumi wa kidijitali
*Yaguswa ubunifu tuzo za kihistoria TEHAMA 2025 Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia, Arusha JIJI la Arusha limeandika historia ya kuwa mwenyeji wa kwanza wa Tuzo za TEHAMA Tanzania, huku Serikali ikiahidi kufanya kila linalowezekana katika kuikuza sekta ya TEHAMA ikiwa ni…
Wakandarasi wasimamiwe kutekeleza miradi ya nishati kwa wakati – Kapinga
📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi 📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini….