Category: MCHANGANYIKO
Wataalam sekta ya utalii watakiwa kuleta maboresho
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Tanga Watendaji na Maafisa Utalii nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, kujituma na ubunifu kuhakikisha Sekta ya Utalii inaboreshwa kwa manufaa ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Februari 23, 2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe….
Xavier- Watumishi wa Umma wazingatie maadili na kukumbatia teknolojia kuongeza ufanisi kazini
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani NAIBU Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Xavier Mrope Daudi, ametoa rai kwa watumishi wa umma kuzingatia maadili na kutumia lugha zenye staha wakati wa kutekeleza majukumu yao ili kufanikisha tija…