Category: MCHANGANYIKO
Naibu Waziri Kigahe azindua Maonyesho ya Nishati Dar
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Pazia la maonyesho rasmi ya nishati kwa mwaka 2024 yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaa ambapo yanakuwa ni maonyesho ya nane tangu yalipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2017. Hafla ya ufunguzi…
JKCI yaendelea kuwa kivutio utalii tiba Afrika
Madaktari wake waitwa Zambia kufanya upasuaji wa moyo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya umeendelea kuipaisha Tanzania ambapo sasa madakati bingwa wanne wa Taasisi ya Moyo ya…
Samia afungua jengo la Halmashauri ya Mbinga Vijijini, awapongeza viongozi kwa usimamizi
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan ameridhishwa na ujenzi wa Jengo la kisasa la ghorofa moja la Halmashauri ya wilaya ya Mbinga ambalo limejengwa kwa shilingi bilioni 3.3 hadi kukamilika kwake….
REA kusambaza umeme vitongoji 135 mkoani Pwani, Kunenge amshukuru Rais Samia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji awamu ya pili (HEP II) ambapo utapeleka umeme kwenye vitongoji 135 kwenye majimbo tisa, mkoani Pwani kwa gharama ya sh.bilioni 14.983.7. Mradi huu utafikia…
Bilioni 15 kusambaza umeme vitongojini Pwani
📌VITONGOJI 135 NDANI YA MAJIMBO 9 KUNUFAIKA 📌RC PWANI AMSHUKURU RAIS SAMIA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwanni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi…