JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Nane mbaroni kwa kukutwa na nyara za Serikali, akutwa na bidhaa bandia Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMesia, Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limewatia mbaroni watu saba kwa tuhuma za kupatikana wakiwa na nyara za serikali, meno ya Tembo 64, kati yake mazima yakiwa 8 na vipande 56,meno ya Kiboko 145 na meno…

TPA yachukua hatua mbalimbali uboreshaji miundombinu babdarini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imechukua hatua mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Miundombinu, kusimika mifumo bora ya TEHAMA na kushirikisha Wadau wa Sekta Binafsi wakiwemo waendeshaji wa Bandari, ili kuongeza ufanisi…

Agizo la Dk Biteko la minada yote kutumia nishati safi ya kupikia laanza la kutekelezwa

📌 Wachoma nyama na Mama Lishe katika mnada wa Msalato Dodoma waanza kuonja matunda ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Dkt. Biteko asema ni matunda ya Rais, Dkt. Samia ambaye anayefahamu machungu ya kutumia Nishati isiyo safi ya Kupikia 📌…

Binti wa miaka 25 akomba bidhaa zote kwenye mnada wa kidijitali wa Piku

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Binti wa miaka 25 kutoka Kimara Baruti jijini Dar es Salaam, Jenipher Ayubu amefanikiwa shindia bidhaa kwenye minada mitatu yenye thamani ya zaidi ya Milioni kupitia jukwaa jipya la kidigitali la Piku. Jukwaa…

Dodoma kutangazwa kimataifa kupitia mkakati mpya wa utalii

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika mwamko mpya wa kuipeleka Dodoma kimataifa na kuileta dunia Dodoma, Serikali imezindua Mpango Mkakati wa Kuendeleza Utalii wa Mkoa wa Dodoma huku ikipendekeza kuanzishwa kwa Kijiji cha Utalii wa Wagogo kitakachohifadhi na kuonyesha nyimbo, mavazi, mapishi…