Category: MCHANGANYIKO
Polisi Pwani yamsaka Abdallah kwa tuhuma ya kumuua mzazi mwenzake
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka Abdallah Mohammed (40), fundi friji na mkazi wa Mataya, Kata ya Kiromo, Wilaya ya Bagamoyo, kwa tuhuma za mauaji ya mzazi mwenzake Naomi Mwakajengele ( Anangisye) miaka 28,…
Rig za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina
Zinatolewa bure, mnufaika analazimika kulipia gharama za uchorongaji Wanufaika waeleza zilivyowasaidia, zina uwezo wa kuchimba Mita 400 chini ya ardhi Mtaalam asisitiza umuhimu wa kubaini uwepo wa madini kabla ya kuchimba Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lwamgasa Dhamira ya Serikali ya…
Tume yatoa neno kwa waendesha vifaa vya BVR Tanga, Pwani
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Tanga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometrikikutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotaraji kuanza Februari 13 hadi…
Wahandisi nchini watakiwa kufanyakazi kwa kuzingatia maadili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAHANDISI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu na uwajibikaji kazini. Wito huo umetolewa leo Februari 11, 2025 na Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Bernard Kavishe wakati wa…
Tanzania kinara duniani matumizi ya TEHAMA serikalini
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Nchi ya Tanzania imefanikiwa kupanda daraja kutoka kundi B hadi kundi A na kushika nafasi ya 26 duniani, nafasi ya pili barani Afrika baada ya Mauritius na nafasi ya kwanza Afrika Mashariki kwenye ukomavu wa…
‘Zanzibar imenufaika na ufadhili wa mashirika ya kimataifa katika miradi ya umwagiliaji’
Na. Josephine Majura WF-Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imenufaika na ufadhili wa mashirika ya kimataifa katika miradi ya umwagiliaji inayolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuboresha maisha ya…