JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ruhundwa alitaka Jimbo la Ngara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngara Katika kile kinachoonekana kuwa kiu ya kuwatumikia Wanangara na kuifanya Ngara kuwa kubwa kwenye ramani ya dunia, Hilali Alexander Ruhundwa amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Ngara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akielezea maono…

Mhasibu Mkuu Tanga achukua fomu ya Ubunge kuwania Kilwa Kusini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilwa Mhasibu Mkuu Mkoa wa Tanga, Ahmed Bongi amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania kuteuliwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bongi ambaye alikuwa Mhasibu Mkuu Mkoa wa Lindi kabla ya…

Israel yawauwa Wapalestina 30 ndani ya saa 24

Mashambulizi kadhaa ya anga ya jeshi la Israel kwenye Ukanda wa Gaza yameuwa takribani watu 30 na kuwajeruhi wengine kadhaa. Kwenye mashambulizi ya hivi karibuni zaidi, watu kumi wameuawa usiku wa kuamkia leo na zaidi ya 50 wamejeruhiwa, kwa mujibu…

Korea Kaskazini kutuma wanajeshi 30,000 nchini Urusi

Korea Kaskazini inakusudia kuongeza mara tatu idadi ya wanajeshi wake wanaopigana upande wa Urusi katika vita na Ukraine, na kutuma wanajeshi wa ziada 25,000 hadi 30,000 kusaidia Moscow, kulingana na shirika la ujasusi la Ukraine. Shirika la habari la Marekani…

Aliyekuwa mlinzi wa Tundu Lisu na Diwani wa CHADEMA arudi CCM

Na Kija Elias, JamhuriMedia, Moshi Aliyekuwa mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, na Diwani wa Kata ya Kiboriloni, Frank Kagoma, ametangaza rasmi kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema amechukua uamuzi huo ili kushirikiana na…

Dk Chang’a afanya mazungumzo ya kitalamu na katibu Mkuu WMO

Na Mwandishi Wetu, Geneva Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization – WMO) Prof. Celeste Saulo ameahidi kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) katika kuboresha huduma za hali ya hewa kwa matumizi…