Category: MCHANGANYIKO
INEC yatoa vibali 157 elimu ya mpiga kura
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali 157 kwa asasi za kiraia kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu kwa Wapiga kura. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…
Kutoka bungeni Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Februari 03, 2025.
Changamoto ya wafanyabiashara wageni kufanyakazi za Watanzania kutatuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ameunda Timu ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini na ajenda ya uwekezaji kinyume chake…
Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo – Dk Biteko
📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati ipo salama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Rais…
Dk Masika aridhishwa utekelezaji mradi wa Membe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dkt. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa ujenzi bwawa laUmwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani…