Category: MCHANGANYIKO
Rais Mwinyi : Mradi wa EACOP ni kioo cha maendeleo ya sekta ya mafuta Afrika Mashariki
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kati ya Tanzania na Uganda ni moja ya kielelezo kwa nchi za…
Rais Samia: Tanzania imetekeleza malengo 17 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hadi sasa Tanzania imetekeleza Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDG’s). Akizungumza katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya wanawake Dunia ambapo kitaifa yamefanyika…




