JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yaridhishwa na ujenzi wa barabara za Mtili- Ifwagi na Wenda Mgama

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km….

Uzinduzi sera ya elimu waahirishwa hadi Februari 2025

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Aldof Mkenda, ametangaza kwamba mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, toleo la 2023, sasa utafanyika Februari 1, 2025, badala ya Januari 31, 2025,…

TAKUKURU Tabora wabaini madudu kwenye miradi ya maendeleo

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imetembelea na kukagua jumla ya miradi 11 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya sh bil 28 na kubaini dosari katika utekelezaji baadhi ya miradi…

Kuunganisha umeme maeneo ya vijijini sh. 27,000 – Kapinga

📌 Asema kuunganisha umeme maeneo ya mjini shilingi 320.960/- 📌 Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto…

Dk Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki saba kwa radi Geita

📌 Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi 📌 Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi 📌 Viongozi wa dini wahimiza uvumilivu na uhimilivu kipindi cha majonzi Na Ofisi ya Naibu Waziri…

RC Sendiga amuapisha DC Mbulu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amemuapisha Michael Semindu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Januari 25, 2025 kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Hafla ya uapisho huo imefanyika katika ukumbi wa…